Kikundi cha ngoma ya asili kutoka wilayani Ukerewe wakiwa kwenye mpambano mkali wakati wa fainali za ngoma za Asili,zilizo zaminiwa na Bia ya Balimi.
Kushoto ni Meneja wa bia ya Balimi Ediss bebwa,akimkabidhi mshindi wa Pili Bwana Makaranga Miugo kutoka Ukerewe , kiasi cha shilingi laki tano.
Wakifuatilia mpambano wa kwanza kulia Ephaim Majinge wa pili ni Jaji Mkuu bwana Dunia Kilonzo Mkuu wa Idara ya chuo cha walimu Butimba
Kikundi kutoka Bujora kikirusha Nyoyo za watu katika uwanja wa CCM Kirumba wakati wa fainali za Ngoma za Asili zilizo zaminiwa na bia ya BALIMI kutoka Wilaya ya Nyamagana,Ukerewe,Sengerema.
kushoto ni bwana Slvester Ngabula Katibu mkuu wa kikundi cha Bujora akipokea kiasi cha shilingi laki sita kutoka kwa meneja wa bia ya Balimi Ediss Bebwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika fainali ya mashindano ya Bia ya Balimi yaliyo fanyika katik a uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
0 maoni:
Post a Comment