Saturday, July 7, 2012

MUENDELEO WA TAMASHA LA WAZI LA FILAMU NCHINI JIJINI TANGA

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akimkabidhi zawadi Mtoto Omary Juma alieibuka mshindi wa jumla wa kucheza muziki katika muendelezo wa Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Wazi la Filamu ambalo limefika Tamati jioni ya leo kwenye Viwanja vya Tangamano,jijini Tanga.
  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah na Mratibu wa Tamasha hilo la Wazi la Filamu,Mussa Kisoky wakiwa pamoja na Watoto waliofika katika hatua ya nne bora katika shindano la Kucheza muziki wakati wa Tamasha la wazi la Filamu lililokuwa likifanyika kwenye viwanja vya Tangamano,jijini Tanga.
watoto wakionyeshesha uwezo wao.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU