Friday, July 27, 2012

PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA MWALIMU JAMES IRENGE.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la marehemu Mwalimu James Irenge ambaye alikuwa ni Mwalimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, katika mazishi yaliyofanyika, Butiama mkoani Mara Julai 26,2012. Katikati ni mkewe Tunu na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa  Mara,  John Tuppa.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU