Wednesday, July 25, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA KATIKA BUSTANI YA MNAZI MMOJA LEO

 Rais Kikwete akiwasili mnazi mmoja
 Askari wa zamani wa Tanzania Legion
  Askari wa JWTZ wakiwakumbuka mashujaa 
 Wakati wakiimba wimbo wa Taifa
  Kiongozi wa Mabalozi na Balozi wa DRC Nchini Mhe Khalfan  Mpango akiweka shada la maua
 Meya wa Jiji la Dar es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi akiweka upinde na mshale
 Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es salaam Mzee Rashidi Bakari Ngonja akiweka shoka
 Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salum
  CCT Mchungaji  John Kamoyo
  Roman Catholic: Monsinyori Deogratias Mbiku

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU