Tuesday, July 17, 2012

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA ADDIS ABABA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal  na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik  baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik  na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na wa tatu toka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi.  Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU