Sunday, July 29, 2012

RAIS WA ROTARY DUNIANIALIVYOKARIBISHWA NCHINI

  Rais wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mzizima, Rotarian Ambrose Nshala (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa, Rotarian Sakuji Tanaka kutoka Japani wakati wa hafla ya kumkaribisha nchini iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Hafla hii ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro.
 Rais wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mzizima, Rotarian Ambrose Nshala (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya wa wanachama wengine wa klabu ya Rotary,  katika wa hafla hiyo.

 Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa, Rotarian Sakuji Tanaka (kushoto) kutoka Japan akiwa kwenye hafla ya kumkaribisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana akiwa ameambatana na mkalimani wake.  Kulia mmoja wa viongozi wa juu wa Rotary kutoka Kenya, Geeta Manek.
 Kikundi cha sanaa kikitoa burudani katika hafla ya kumkaribisha Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa Rotarian Sakuji Tanaka jijini Dar es Salaam jana.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU