Tuesday, July 17, 2012

REDD'S MISS WORLD TANZANIA 2012 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

 Redds Miss World Tanzania 2012 Lissa Jenson akikabidhiwa bendera ya Taifa ili kwenda kuipeperusha kwenye fainali ya dunia itakayofanyika nchini China
Redds Miss World Tanzania 2012 Lissa Jenson akiwa katikati akiwa na bendera ya Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency Hashimu Lundenga.Fainali ya Dunia Itafanyika July 28,2012 nchini China.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU