Tuesday, July 31, 2012

WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA WABUNGE KWENYE VIWANJA VYA BUNGE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry  Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge  wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Julai 31,2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU