Thursday, July 5, 2012

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Mjini Dodoma  Julai 6,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongokwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 6, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 6, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU