Waziri Mkuu, mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Hospitali ya Maria Mama wa Kanisa ya Enduimet mkoani Arusha 8, Julai 2012.Kushoto kwake ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha Mhasham, Josephat Lebulu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake wakati alipoaga, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 8, 2012.
0 maoni:
Post a Comment