Saturday, July 7, 2012

ZOEZI LA SHABIKI BOMBA BADO LINAENDELEA

 Shabiki wa Arsenal Bakari Kanduru wa Msasani jijini Dar es Salaam akifurahia kupig picha baada ya kusaini fomu ya kushiriki shindano hilo
Zoezi la kusajili mashabiki bomba wanaoshabikia ligi ya Uingereza ili kumpata mmoja takaewakilisha Tanzania kwenda nchini Afrika ya Kusini kushuhudia mashindano ya Fainali za Afrika linaendelea ambapo leo mashabiki wamejitokeza eneo la Msasani Macho na Coco beach kujaza fomu maalum ya kushiriki shindano hilo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU