Makamo mwenyekiti wa simba na kushoto kwake ni Mrisho Ngasa wakati akitambulishwa kwenye klabu ya simba
Mrisho Ngasa akikabidhiwa Jezi ya Simba
Mrisho Ngasa akiwa amevaa jezi aliyokabidhiwa.
Aliekua mshambuliaji wa timu ya azam Mrisho Ngasa ametua rasmi katika klabu ya simba na ameanza mazoezi na wachezaji wenzake ambapo atatambulishwa rasmi kwa mashabiki wake siku ya simba day.
Wakati huo huo mkutano mkuu wa sSimba umepangwa kufanyika jumapili wiki hii Dar es salaam, hivyo wanachama wa klabu ya simba wanatakiwa wakalipie kadi zao kabla ya mkutano huo.
0 maoni:
Post a Comment