Monday, August 6, 2012

SIMBA YAWAZUNGUKA AZAM YAMSAJILI RAMADHAN CHOMBO

RAMADHAN CHOMBO mchezaji wa timu ya Azam amethibitisha kusajiliwa na klabu ya Simba kwa msimu ujao wa ligi kuu TANZANIA Bara ,juu ya kusajiliwa kwa mchezaji huyo msemaji wa Azam Idd wa Maganga amesema si kweli kwani mchezaji huyo bado anamkataba na klabu ya AZAM na mkataba huo unamalizika mwakani mwezi wa sita.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU