Friday, August 3, 2012

UZINDUZI WA RATIBA YA MICHUANO YA MABINGWA YA BANCABC SUPR 8 UMEFANYIKA LEO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi(kulia) akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman  Nyamlani kwa ajili ya mashindano ya BancABC SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika Dar es Salaam.
 Uongozi wa BancABC na TFF wakiwa wameshikira Kombe kuashira Baraka njema na kutakia mashindano mema ya BancABC SUP8R .Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Hoseah,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman  Nyamlani,Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Nchini,Boniphace Nyoni na Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi
 Picha ya Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted Comminications na Kombe.
Picha ya Pamoja ya Mabalozi wa BancABC kutoka Integrated Comminications

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU