Thursday, August 2, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKIWA KWENYE MAONYESHO YA NANENANE MOROGORO

 Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua mkungu wa ndizi katika maonyesho ya wakulima Nanenane Mjini Morogoro Agosti Mosi 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mzinga wa asili wa nyuki wadogo wakati alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya Wakulima Nanenane Mjini Morogo Agosti Mosi, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mafuta ya mawese yaliyokamuliwa katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Ruvu wakati alipotembelea Banda la Jeshi hilo kwenye  maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti Mosi, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU