Friday, August 3, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MUASISI WA TAASISI YA IYF

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mchungaji Park Ock  Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya  International Youth Felloship  (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto)   kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini  Dkt. Kansolele  Ntevi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Muasisi wa Taasisi ya International  Youth Fellowship (IYF) ya Jamhuri ya Korea, Mchungaji Park Ock Soo baada ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU