Thursday, September 20, 2012

PAMBANO LA LIGI KUU YA GRAND MALT YA ZANZIBAR KATI YA MUNDU NA ZIMAMOTO KWENYE UWANJA WA AMAAN .

 Walinzi wa timu ya Mundu ya Zanzibar (kulia( wakimwangusha mshambuliaji wa timu ya Zimamoto, Ibrahim Hilika kwenye mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan.
Timu hizo hazikufungana baada ya kutoka suluhu.
Kipa wa Mundu Sultan Mwenegoa akiondosha moja ya hatari langoni kwake. Mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt ya zanzibar .
  Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto, Ibrahim hilika akiambaa na mpira kwenye pambano la ligi kuu kati ya Mundu na Zimamoto kwenye uwanja wa Amaan , hadi mwisho wa mchezo Mundu O na Zimamoto O
  Patrick James wa Mundu akipiga kombora.
 Zimamoto na Mundu wakigombea mpira kwenye pambano lao la ligi kuu.
  Mshambuliaji wa Zimamoto, Ramadhan Bakari (kushoto( akipambana na mlinzi wa Mundu, Patrick James, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan.
Mundu O na Zimamoto O.
  Patrick James wa Mundu na Ramadhan Bakar wa Zimamoto (kulia( wakiwania mpira.Mundu 0 na Zimamoto 0
  Mshambuliaji wa Zimamoto,Ramadhan Bakar (kulia( akijaribu kumpita beki wa Mundu, Patrick James.
Hekaheka kwenye lango la timu ya Zimamotokwenye uwanja wa Amaan

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU