Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya 
Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo 
Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka
 kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika  ramani ya 
Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor 
Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar 
es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.







0 maoni:
Post a Comment