Wednesday, October 24, 2012

AIRTEL YAWAZAWADIA 500% BONUS YA MUDA WA MAONGEZI KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea  na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya  wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku  . Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco. Kushoto ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya na kulia ni Mkurugenzi wa Masoko Cheikh Saar.
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor (katikati) pamoja Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya (kushoto)  na Mkurugenzi wa Masoko Cheikh Saar (kulia) kwa pamoja  wakionyesha moja ya vipeperushi vya promosheni mpya ya “ Jipatie Mara “ wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya muda wa maongezi kutokana na  wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco.
 Mkurugenzi wa Masoko Cheikh Saar akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco. katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akifatiwa na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea  na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa ni sawa na 500% bonus ya muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco.
 waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea  wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa ni sawa na 500% bonus ya muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco.
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea  na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa ni sawa na 500% bonus ya muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco. pichani Mkurugenzi Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sam Elangalloor akiongea  na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya “Jipatie Mara 5” inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya wastani wa kiwango cha pesa watakayotumia kila siku ikiwa ni sawa na 500% bonus ya muda wa maongezi. Uzinduzi huo umefanyika leo katika ofisi za makao makuu ya Airtel morocco. pichani Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Cheikh Sarr

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU