Mlinzi Othman Kibige wa Mundu akipambana na mshambuliaji wa jamhuri, Abdalla Othman Ali (mwenye
mpira) jana uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa Jamhuri, Abdalla Othman
Ali (kushoto) akijaribu kumpita mlinzi wa Mundu, Patrick James.
Abdalla Othman Ali (kushoto) na Patrick James wa mundu wakiwania mpira.
Mshambuliaji Abdalla Seif Ali wa Mundu (kulia) akipambana na Abdalla Othman Ali wa Jamhuri.
Mchezo wa ligi kuu ya Grand
malt ya zanzibar kati ya jamhuri ya Pemba na Mundu ya zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan. Jamhuri iliichapa Mundu bao 1 - 0.
0 maoni:
Post a Comment