Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa akifungua
mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika
leo Oktoba 20, 2012 katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma,
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo
cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012 kwa ajili ya kufungua
mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania, (UWT) Taifa,
anayemaliza muda wake, Sophia Simba, wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu
wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba
20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake
Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba, (katikati)
na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa wakifurahia jambo wakati
wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania
(UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa
Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini
humo wakati wa ufunguzi huo wa mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya
Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na
uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
















0 maoni:
Post a Comment