Bondia kutoka nchini Namibia Gottlieb Ndokosho ambaye
alimsambaratisha Mtanzania Rajabu Maoja katika raundi ya kwanza ya
mpambano wao wa kugombea mkanda wa IBF Afrika katika uzito wa unyoya,
atapanda tena ulingoni jijini Windhoek, Namibia kutetea mkanda wake kati
ya mabondia watatu ambao walipendekezwa na IBF.
Ndoshoko kulia akimsulubu mpinzanai wake
Mpambano huo utakaofanyika katika jiji la Windhoek nchini Namibia utatoa upinzani mkali sana kati ya mabondia hao wanaochipukia vyema.
Kati ya majina matatu yaliyopendekezwa na IBF limo jina moja na Mtanzania Fredy Sayuni ambaye anaishi jijini Dar-Es-Salaam. Wengine ni Patric Okine kutoka Ghana na David Kiilu kutoka nchini Kenya.

Afrika kupigania ubingwa wake wa dunia. Mpambano huo
utawakutanisha Helen Joseph kutoka nchi ya Nigeria akikutana na bondia
Dahianna Santana kutoka Dominican Republic huko Latin America ambaye
ndiye bingwa wa dunia wa IBF
katika uzito wa unyoya (featherweight) kwa upande wa wanawake.
Helen Joseph
Mpambano huo utafanyika Decemba 1 katika jiji la San Domingo na litasimamiwa na Rais wa IBF katika bara la Afrika, Mashariki ya Kati, Ghuba za Uarabu na Uajemi, Mtanzania Onesmo Ngowi.
Sa ntana kulia
Bondia Helen Joseph ameshapigana mapambano
13 na amepoteza mara mona wakati mpinzani wake Dahianna Santana
amepigana mara 37 na kupoteza mara 6.
0 maoni:
Post a Comment