Mkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Tunu Towo
Kavishe (kushoto) akionyesha jezi halisi ya timu ya Arsenal ikiwa ni
moja ya zawadi watakazopewa washindi wa promosheni ya Ligi Kuu ya
England (BPL) inayoendeshwa na benki hiyo. Mshindi mmoja katika kila
droo hujishindia tiketi ya yeye na mwenzake kwenda kushuhudia moja ya
mechi ya ligi hiyo nchini Uingereza. Droo hiyo ilifanyika jijini Dar
es Salaam jana. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
Tanzania (GBT), Maggid Bakari na Mkuu wa Bidhaa, Huduma na Utafiti wa
benki hiyo, Samwel Mkuyu.
Mkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Tunu Towo
Kavishe (kushoto) akionyesha jezi halisi ya timu ya Manchester ikiwa
ni moja ya zawadi watakazopewa washindi wa promosheni ya Ligi Kuu ya
England (BPL) inayoendeshwa na benki hiyo. Mshindi mmoja katika kila
droo hujishindia tiketi ya yeye na mwenzake kwenda kushuhudia moja ya
mechi ya ligi hiyo nchini Uingereza. Droo hiyo ilifanyika jijini Dar
es Salaam jana. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Bakari Maggid na Mkuu wa Bidhaa, Huduma na Utafiti wa benki hiyo, Samwel Mkuyu.
es Salaam jana. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Bakari Maggid na Mkuu wa Bidhaa, Huduma na Utafiti wa benki hiyo, Samwel Mkuyu.
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Rukia Kizwi (kushoto) akitoa
tiketi ili kumpata mmoja wa washindi wa promosheni ya Ligi Kuu ya
England (BPL) inayoendeshwa na benki hiyo. Mshindi mmoja katika kila
droo hujishindia tiketi ya yeye na mwenzake kwenda kushuhudia moja ya
mechi ya ligi hiyo nchini Uingereza na wengine wawili hujishindia
zawadi ndogondogo. Droo hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wa
pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano wa Barclays, Tunu Towo
Kavishe, Mkuu wa Bidhaa, Huduma na Utafiti wa benki hiyo, Samwel
Mkuyu, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid na
Ofisa Mawasiliano wa Barlclays, Lilian Machare.
0 maoni:
Post a Comment