KLABU
ya Yanga jana imesitisha ajira ya msemaji wa yanga shaaban Katwila na meneja Baraka Kizuguto baada ya hapo jana kuwatangaza kushika uongozi huo. Katibu mkuu waanga Mwalusako amewaambia waandishi wa habari kuwa alitangaza kimakosa majina ya viongozi hao hivyo anaomba radhi kwa kukosea.
Kwa hivyo nafasi ya msemaji na meneja wa Yanga ziko wazi hadi hapo watakapo tangaza majina ya viongozi hao
Kwa hivyo nafasi ya msemaji na meneja wa Yanga ziko wazi hadi hapo watakapo tangaza majina ya viongozi hao
0 maoni:
Post a Comment