Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd ambao ni watengenezaji wa kinyaji
cha Konyagi,David Mgwasa (wa tatu kulia) akikabidhi sehemu ya vifaa vya
Muziki kwa viongozi wa Bendi ya Muziki wa Dansi nchini ya Msondo Ngoma
(Baba ya Muziki) vilivyotolewa na Kampuni yake kwa ajili ya kuuendeleza
muziki wa Dansi hapa nchini.Makabidhiano haya yamefanyika jioni ya leo
katika Viwanja vya Leaders,Kinondoni jijini Dar es salaam.Wengine
Pichani toka kulia ni Meneja Mauzo TDL,Joseph Chibehe,Meneja wa Konyagi,
Martha Bangu,Maalim Muhidin Gurumo,Said Mabela a.k.a Daktari,Roman
Mng'ande na Shaaban Dede ambao ni wanamuziki wa Msondo Ngoma Band.
0 maoni:
Post a Comment