Saturday, November 17, 2012

MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AREJEA ALAKIWA KWA SHANGWE

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe Philip Mangula mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik
Rais Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kurejea akitokea Arusha alikokuwa katika ziara ya siku mbili ya kikazi na kabla ya hapo alikuwa Dodoma ambako alichaguliwa tena kuongoza CCM kwa miaka mingine mitano

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU