Wednesday, November 14, 2012

PAMBANO LA LIGI KUU YA GRAND MALT YA ZANZIBAR KATI YA FALCON NA ZIMAMOTO JANA KWENYE UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR. FALCON NA ZIMAMOTO WALITOKA SARE 2 - 2

 Pichani wachezaji wa Zimamoto wakililinda lango lao na wa Falcon wakijiandaa kujipatia goli kutokana na mpira wa kona, ligi kuu ya grand malt ya zanzibar, uwanja wa Amaan jana.
 Mshambuliaji wa Falcon, Othman halid akichuana na mlinzi wa Zimamoto, Juma Ali, ligi kuu ya grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan.
 Wachezaji wa Zimamoto (kushoto) wakililinda lango lao dhidi ya Falcon. Ligi kuu ya Grand Malt ya zanzibar, uwanja wa Amaan jana.
 Aly Suleiman Kalulu wa Falcon (kushoto)akidhibiti mpira, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Amaan jana. Falcon 2 na Zimamoto 2.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU