Friday, November 16, 2012

PAMBANO LA LIGI KUU YA GRAND MALT YA ZANZIBAR KATI YA CHUONI NA JAMHURI KWENYE UWANJA WA AMAAN MJINI ZANZIBAR JANA. CHUONI ILIICHAPA JAMHURI BAO 1 - 0.

 Mlinzi Emanuel Albert wa Chuoni (kushoto) akiambaa na mpira, kulia ni mlinzi wa Jamhuri, Mohamed Othman Mmanga.
 Kipa Issa Ali Abdalla wa Chuoni akinyaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Chuoni, Bakari khamis Futo (No.19). Ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar.
 Emanuel Albert wa Chuoni (kushoto) na mshambuliaji wa Jamhuri, Bakari Khamis Futo wakiwania mpira, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Amaan, jana.
 Mlinzi wa Jamhuri, Hussein Rashid Khatibu (kulia) akijiandaa kupiga mpira mbele ya Emanuel Albert wa Chuoni (kushoto)
Shaffi Hassan wa Jamhuri (kushoto) akichuana na Suleiman Ali Khatibu wa Chuoni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU