Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cjha
zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia
umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa
ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe Fatma Saidi na Mbunge wa
Mtera Mhe. Lusinde
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la
kilimo cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo
hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15,
2012
0 maoni:
Post a Comment