Friday, November 30, 2012

TBS YATOA SEMINA YA UFUNGASHAJI BIDHA KWA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA ILIKUKIDHI VIWANGO VYA KIMATAIFA

 Waziri wa viwanda na biashara mh Abdala Kigoda akiwa na kaimu mkurugenzi mkuu wa Tbs bwana Leaudi Kinabo (L) pamoja na ofisa masako mwandamizi wa tbs wakitoka katika ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar es salaam baada ya ufunguzi wa semina kwa  wafanya biashara ya ufungashaji bidhaa iliyo fandaliwa na shirika la viwango tanzania.
 Meneja viwango na uhandisi wa tbs Eng Tumaini Mtitu akibadalisha mawazo na(R) Mkurugenzi wa upimaji na ugezi Bibi Kezia Mbwambo wakati wa semina ya ufungashaji bidhaa semina hiyo iliandaliwa na shirika la viwango tanzania tbs

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU