Monday, November 12, 2012

WAKALI WA MIC, TWANGA PEPETA, WAFUNIKA DAR LIVE

Washiriki wote wakiwa pamoja kabla ya kuanza shindano hilo.
Mmoja wa washiriki akionyesha hazina yake katika sanaa hiyo.
Washindi wa tano bora.
Luiza Mbutu (kushoto) wa Twanga Pepeta akiimba na mwanamuziki mwenzake.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiwa kazini.
Majaji Ally Baucha, (kulia) John Dilinga na Abdalah Mrisho (kushoto) wakifuatilia shindano hilo.
Mshiriki akikamua kwa madoido.
Kinadada wakifuatilia shindano hilo.
Mashabiki wa soka wakifuatilia mpambano kati ya Chelsea na Liverpool ukumbini humo.
SHINDANO la kumtafuta mkali wa ‘maiki’, The Mic King, lililoendelea na kufanyika jana Jumapili katika ukumbi wa kisasa wa burudani wa Dar Live ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam, na kusindikizwa na Bendi ya African Star ‘Twanga Pepeta’, lilitoa burdani ya aina yake kutokana na vijana washiriki kutoka wilayani Temeke kuonyesha umahiri mkubwa katika muziki wa kufokafoka.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU