Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM
katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa
Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota
mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo
Pinda wakisalimiana na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa
Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota
mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK Mariamu Mungula
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na viongozi wa matawi ya CCM
ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama
hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika
mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
0 maoni:
Post a Comment