Airtel
Waibuka Kidedea Na Tuzo Ya Utendaji Bora (Performance Management)
Mkurugenzi
Wa Rasilimali Watu Wa Airtelbw, Patrick Foya Akiwa Ameshikilia Cheti Na Tuzo
Hiyo Ya Utendaji Bora Waliojishindia Jana Na Kukabidhiwa Na Mh Rais Dkt, Jakaya
Mrisho Kikwete
Tuzo
Ya Kwanza Kulia Ndio Ya Utendaji Bora (Performance Management)
Iliyoongezeka Katika Diplay/Kitunza Tuzo Cha Airtel Makao Makuu Leo.
Tuzo
Hizi Zimeandaliwa Na Assocition Of Tanzania Employers (Ate) Na Kukabidhiwa Kwa
Washindi Na Mheshimiwa Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt, Jakaya
Mrisho Kikwete
0 maoni:
Post a Comment