Saturday, December 1, 2012

FAINALI YA MASHINDANO YA MITUMBWI YA BALIMI KUFANYIKA KESHO MWALONI MWANZA

 Meneja wa bia ya Bailimi Extra Lager Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa Habari jijini Mwanza juu ya maandalizi ya fainali ya Kitaifa ya Bailimi Boat race 2012 yatakayofanyika kwenye eneo la Mwaloni Mwanza na kuvishirikisha jumla ya vikundi kumi na sita vya wanaume na vikundi kumi vya akina mama toka mikoa ya Kigoma,Musoma,Kagera,Mwanza na Mkoa maalum wa kimichezo wa Ukerewe.
Meneja  matukio wa kanda ya ziwa wa TBL Erick Mwayela akizungumza na waandishi wa Habari jijini Mwanza juu ya maandalizi ya fainali ya Kitaifa ya Bailimi Boat race 2012 yatakayofanyika kwenye eneo la Mwaloni Mwanza na kuvishirikisha jumla ya vikundi kumi na sita vya wanaume na vikundi kumi vya akina mama toka mikoa ya Kigoma,Musoma,Kagera,Mwanza na Mkoa maalum wa kimichezo wa Ukerewe.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU