Friday, December 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI WAZIRI MSTAAFU WA ZANZIBA NA MJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ,HAMID AMEIR ALI, ALIYELAZWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na Kifua.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU