Thursday, December 20, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA JENGO LA NYUMBA ZA MAKAZI YA WATUMISHIWA UMMA ZA ADA ESTASTE DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiri uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga, wakati akitembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa jengo hilo .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo na kuonyeshwa Ramani ya Jengo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam,.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya sanamu la Kinyago cha Umoja, kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga (kulia) na Mwenyekiti wake, Edward Ngwalle, (wa pili kulia) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akiondoka eneo la Ada Estate, baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, 

1 maoni:

SSPRA said...

da jane me hainiingii akili hawa viongozi wetu wanapoufungua mradi huu wa ujenzi na wakati haujakamilika,nii hii imekuwa kama kawaida ya viongozi wetu kufungua miradi hata kama haijakamilika sasa nashindwa kuelewa tnaenda wapi.

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU