Saturday, December 1, 2012

MH RITHA KABARTH ASISITIZA ELIMU YA SAYANSI KWA MTOTO WA KIEKE WANAWAKE NA MAENDELEO WAKIWEZESHWA WANA WEZA

 Mh Ritha kabatih akiongea na shirika la utangazaji la Tanzania (TBC) akiwa nchini Burkina faso ambapo alikuwa miongini wa ujumbe uliokwenda nchini humo kujionea faida ya kilimo cha kutumia Teknolojia ya Uhaulishaji pamba(BT) ilivyo wanufaisha wakulima wa Burkina faso
 Makontena ya liyo sheheni pamba ambayo inalimwa kwa kutumia Teknolojia ya uhaulishaji (BT) yakiwa katika kiwanda cha kuchambulia pamba nchini Burkina faso ziara hiyo ya mafunzo nchini Burkina faso iliandaliwa na NEPAD pamoja na COSTECH kupitia wizara ya sayansi na teknolojia Tanzania
Mbunge wa Tanzania Mh Ritha Kabath anaonekana akiwa na rubani wa kike wa shirika la ndege la kenya( kenya air ways) kepteni Bilha Amadi ambaye alikuwa anaendesha ndege aina ya boing737 ambayo inafanya safari zake kati ya nchi ya Kenya na Burkina faso ambapo ujumbe wa serekali ya Tanzania ulikuwa miongoni mwa abiria walio panda ndege hiyo ujumbe huo wa Tanzanaia ulikuwa una toka nchini  Burkina faso kwa ajili ya mafunzo ya kutumia Teknolojia ya uhaulishaji pamba (BT) 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU