Monday, December 24, 2012

MH WAZIRI MKUU AKIWA KATIKA ZIARA YA KUHIMIZA MAENDELEO JIMBONI KATAVI

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anakagua kibanda kilicho jengwa kwa ajili ya kuweka jenereta la kufua umeme katika kijij cha Kibaoni Katavi   Mh waziri mkuu yupo katika ziara ya kukukagua shughuli za maendeleo na mapumziko ya Krismasi na mwaka mpya kijijini kwao kibaoni katavi  picha na chris mfinanga
 Bwana Godfrey Pinda ambaye ni mdogo wa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anamwelezea Waziri Mkuu kuhusu anavyo lima kilimo cha mananasi minazi katika shamba lake katika kijiji cha kibaoni Katavi  Waziri mkuu yupo katika jimbo lake la katavi katika kukagua shughuli za maendeleo pamoja na mapumziko ya Krismasi na mwaka mpya picha na Chris mfinanga
 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika shamaba lake katika kijiji cha kibaoni Katavi akiangalia mahindi yalivyo stawi picha na Chris mfinanga
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapata maelezo kutoka kwa mtalamu wa Tanesco makao makuu Eng Tumaini Temu kuhusu jinsi jenereta walilo lifunga linavyo fanya kazi katika kuzalisha umeme katika kijiji cha kibaoni kushoto kwa waziri mkuu ni tekinisheni  wa Tanesco Bibi Salama Mpera

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU