Rais Jakaya mrisho kikwete,
akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura
cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo
Desemba 8, 2012
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika
picha ya pamoja na viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha
dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
leo Desemba 8, 2012
Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na
Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya
kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012








0 maoni:
Post a Comment