Mshindi wa maisha plus
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu Alipokua akizungumza na vyombo vya habari wakati aliposhiriki chakula cha mchana na washiriki wa maisha plus
Ridhiwani Kikwete mdau alimsindikiza naibu waziri
Baadhi ya Washiriki 15 bora wa Maisha plus wakifurahia hela walizopewa
washiriki wakipata chakula cha mchana
Baadhi ya waandishi wa habari wakipata chakula cha mchana na washiriki hao wa maisha plus
Naibu waziri akiwagawia hela wahudumu waliohudumia















0 maoni:
Post a Comment