Friday, December 7, 2012

NBC YADHAMINI SEMINA YA VIJANA WAJASIRIAMALI

 Meneja Ukuzaji wa Biashara Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa na  Kati wa Benki ya NBC, , Jonathan Bitababaje akitoa mada katika semina ya vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyika  katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi  ambayo benki hiyo imedhamini.
 Naibu Mkurugenzi wa Vijana katika Wizara ya Vijana, Habari, Michezo na Utamaduni, James Kijugusi akizungumza  katika semina ya vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyika katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi, Semina hiyo imedhaminiwa na Benki ya NBC. Kushoto ni Mshauri wa Mahusiano wa benki hiyo, Eddie Mhina na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa YESi,

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU