Monday, December 17, 2012

NMB FAMILY DAY YAWAKUTANISHA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO NDANI YA SOUTH BEACH HOTEL

Familia ya NMB ikiwa inaingia Kwenye ukumbi wa South Beach Hotel Kigamboni jana tayari kwa kusherehekea Siku ya Familia ya NMB

Watoto wa Wafanyakazi wa NMB kutoka Matawi mbalimbali jijini Dar Wakiwa katika michezo mbalimbali ndani ya hotel ya Southe Beach Kigamboni katika Siku ya familia ya NMB
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa na Familia zao katika siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
Muda muafaka wa Maakuli, Wafanyakazi na Familia zao wakiwa katika foleni ya Chakula wakati wa kusherehekea siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni katika hotel ya South Beach Kutoka Kushoto ni Dafrosa Mkami kutoka NMB Mwenge akifuatiwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bw Iman Kajula, Mkuu wa Kitengo cha Benki Binafsi Bw Abdulmajid Nsekela na Mmiliki wa Lukaza Blog ambaye pia ni Mfanyakazi Wa NMB Songambele Bw Josephat Lukaza wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika Jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
Dafrosa Mkami (Wa Kwanza Kushoto) Kutoka NMB Mwenge akiwa katika picha ya Pamoja na rafiki zake katika siku ya familia ya NMB iliofanyika jana Katika hotel ya South Beach Kigamboni
Wadau wa NMB wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa sherehe ya siku ya familia ya NMB
Muimbaji Mahiri kutoka SKYLIGHT BAND Aneth Kushaba aka AK 47 akiimba kwa hisia wakati alipokuwa akitoa burudani ndani ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni
Anneth Kushaba aka AK 47 wa SKYLIGHT BAND na timu yake nzima ikitoa burudani ndani ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika South Beach Kigamboni
Hapa ndipo bendi ya skylight ilipoweka makazi yake jana kabla ya kuanza kutoa burudani kwa familia ya NMB zilizofika katika siku ya familia ya NMB
Ngongoti naye hakuwa nyuma katika kuyarudi mangoma kutoka kwa bendi ya Skylight
Aneth Kushaba aka AK 47 akikata mauno haswa wakati bendi ya Skylight ilipokuwa ikitoa burudani kwa familia za NMB zilifika katika sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana   Mary Lucas akiimba kwa hisia wakati wa sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika Katika Hotel ya South Beach jana
Mary Lucas wa skylight bendi akicheza na shabiki wake ndani ya hotel ya south beach wakati wa siku ya familia ya NMB.
Kutoka Kulia ni Respicius Kutoka NMB Songambele akiyarudi na jamaa zake waliofika katika sherehe ya familia ya NMB iliyofanyika jana
Wafanyakazi na familia zao wakicheza kwaito katika sherehe za siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika hotel ya South Beach Kigamboni
Wafanyakazi wa kutoka NMB Songambele wakibadilishana mawazo wakati wa Sherehe ya Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika jana South Beach Kigamboni. Picha zote na Josephat Lukaza.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU