Saturday, December 15, 2012

TIMU YA WABUNGE YA NETBALL NA FOOTBALL WAREJEA DAR

Timu ya wabunge netball na football wakiwa wameshika kikombe walipo warejea dar leo kutoka nchini Uganda. Timu ya netball waliibuka mabingwa wa afrika mashariki huku timu ya mpira wa miguu wakishika nafasi ya tatu.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU