Tuesday, December 18, 2012

WANA NCHI WA JIMBO LA KATAVI WAMEMSHUKURU MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMBAYE NI MBUNGE WAO KWAKU WALATEA MAENDELEO

 Mh waziri mkuu Mizengo Pinda akizindua mradi wa  madawati kwakukata utepe katika kijiji cha inyoga katavi kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Katavi Dr Rajabu  Rutengwe na kushoto ni mwenye kiti wa kijiji cha Inyogo bwana Athon Kanyika mh waziri mkuu ambaye ni mbunge wa jimbo la katavi yupo katika jimboni kwa ziara ya kukagua  shughuli za maendeleo picha na chris mfinanga

Mh waziri mkuu Mizengo Pinda amepewa heshima ya kimila kwaku vishwa kofia na kukabidhiwa mkuki na wazee wa inyonga kama iashara ya kutambua mchango wake alio waletea wana nchi wa mkoa wa katavi  mh waziri mkuu ambaye ni mbunge yupo jimboni katavi katika kuhamasisha maendeleo picha na chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU