Friday, January 11, 2013

HOTUBA YA RAIS KIKWETE NA UZINDUZI WA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU, IGUNGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa darala la Mbutu wilayani Igunga katika mkoa wa Tabora Januari 7, 2013. Kukamilika kwa ujenzi wa daraja hili mnamo Novemba mwaka huu kutakuwa ukombozi mkubwa kwa wananchi wa eneo hilo na mikoa ya jirani

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU