Licha ya hatua muhimu kukamilika lakini zipo sababu za msingi ambazo kamati imeona ni busara kuzifuatilia ili kufanya tuzo hizo kufanyika kwa ufanisi.
1.
Asilimia
90 (90%) ya Wajumbe wa kamati hiyo ni wanachama wa chama cha makocha wa Tanzania
(Tafca) ambao wapo kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa chama chao hivyo
kushindwa kukamilisha baadhi ya mambo kwa wakati.
2.
Pia
wapi baadhi ya wageni muhimu ambao walialikwa asilimia (80%) wameonyesha
kutokuwepo kwa tarehe hiyo (Demsemba 30, 2012) kwa sababu watakuwa nje ya jiji
la Dar es Salaam kwa ajili ya siku kuu za mwisho wa mwaka jambo ambalo kamati
imeona pia ni jambo la msingi.
Kwa
kuzingatia uzito wa jambo lenyewe kamati imeona ni busara kusogeza mbele kwa
siku 30 kwa lengo la kuwapa nafasi wahusika kwa pande zote mbili kuendelea na
matayarisho hayo ili kuwa na ufanisi kwenye jambo hili la kitaifa lenye nia ya
kusaidia kuinua na kuendeleza vipaji vya soka kwa Watanzania.
Majina yalioingia
fainali
Januari Mosi 2013, Kamati ya maandalizi ya tuzo za
Wazalendo, inarajia kutangaza majina ya
wanasoka ambao wameingia kwenye fainali mwaka 2012. Hatua hii ni baada
0 maoni:
Post a Comment