| Bondia Charles Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Ngange wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumb i wa CCM Tandale Dar es salaam jana Mashali alishinda kwa point |
| Bondia Adam Ngange kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa mala ya kwanza katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana. |
| Bondia
Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Athumani Pendeza wakati wa
mpambano uliofanyika katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana
Nyilawila alishinda kwa K,o raundi ya tatu. |
| Baazi ya wadau wa mchezo wa ngumi wakiwa na mabondia kutoka kushoto ni Kaike Silaju, Nassoro Choro,Selemani Kidunda, Thomas Mashali na Kibavu wakifatilia masumbwi |
| Bondia Fadhili Majia kushoto akikwepa konde la Antoni Mathias wakati wa mpambano wao uliofanyika CCM Tandale Dar es salaam jana Majia alishinda kwa K,O raundi ya pili |
| Bondia
Hassan Mandula kushoto akimlushia makonde James Martini wakati wa
mpambano wao uliofanyika jana Mandula alishinda kwa point picha na www.superedboxingcoach. |






0 maoni:
Post a Comment