Juma Nature akiwapagawisha mashabiki.
Linex akiwapagawisha mashabiki.
Umati wa mashabiki ukiserebuka.
Juma Nature akiserebuka.
Linex akiwapa hi mashabiki wake.
Mmoja wa mashabiki akipata kilaji.
Luteni Kalama akiwa na shemeji yake.
Kundi zima la Gangwe Mob likiwapagawisha mashabiki.
Juma Nature akiwaimbisha mashabiki.
--- USIKU wa kuadhimisha kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2013 ulishuhudia burudani ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live ulioko Mbagala, ambapo wasanii kadhaa wa muziki wa kizazi kipya walitoa burudani ya kufa mtu. Wasanii ambao waliwafanya mashabiki wasitulie katika viti vyao ni wakongwe Profesa J, Inspekta, Juma Nature, pamoja na wasanii wanaokuja juu katika fani hiyo ambao ni Linex na Stamina, huku bendi ya African Star ‘Twanga Pepeta’ wakiwapindisha migongo mashabiki.

(PICHA ZOTE: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL)
0 maoni:
Post a Comment