Tuesday, January 15, 2013

OKWI ASAINI ETOILE DU-SAHEL

Klabu ya simba imekubali kumuuza mchezaji wao tegemeo wa kimataifa OKWI katika klabu ya Etoile du-sahel ya Tunisia  kwa mkataba wa miaka miwili na nusu na amesaini fedha ya kitanzania zaidi ya milioni mia tano.

kwa mujibu wa katibu mkuu wa Simba RAGE amesema mchezi huyo analipwa shilingi milioni ishirini kwa mwezi na amepewa nyumba ya kuishi na familia yake.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU