Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa
katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo
January 21, 2013
Watanzania wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo
January 21, 2013
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe
akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le
Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongoakihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania wanaoishi
Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa
kuamkia leo January 21, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January
21, 2013
0 maoni:
Post a Comment